KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Monday, July 20, 2009

The Tanzanite Band

Mnenguaji wa The Tanzanite Band

Ile nafasi ya mnenguaji kwa ajili ya The Tanzanite Band tayari imeisha jazwa. Kulikuwa na mchuano mkali kuweza kupata mnenguaji, lakini dada huyu aliibuka kidedea na kukamata mzigo huo. Kuanzia sasa, The Tanzanite Band itakuwa ikifanya maonyesho yake na dansa huyu machachari sana.



No comments: