Saturday, December 19, 2009

Mashindano ya kiswahili Chuo Kikuu cha Sokavideo

utambulisho wa kishwahili chuoni


video

wageni waalikwa wafundihshwa kusalimia kiswahilivideo

wageni waalikwa wafundishwa kuimba kiswahili

video

tuimbe pamoja


video

kijana anakataliwa na binti sababu hana mali


2 comments:

Mzee wa Taratibu said...

Hongera sana Mumy kwa kuendeleza na kusambaza lugha ya kiswahili duniani, sikujua kama wajapan wanazungumza kiswahili ni kitu cha maana sana unafanya kila lakehri katika kazi zako.

mumyhery said...

shukran nawewe pia, pia twakutakia heri ya mwaka mpya