Monday, May 19, 2008

african festa 08


(cassava arimasuka?) muhogo upo? sijui alikuwa anataka muhogo wa namna gani wa kuchemsha/kuchoma au kukaanga, ila kwa vile tu haukuwepo ilinibidi nimjibu hakuna halafu nikabaki nacheka mwenyewe

foleni ya ugali

khanga zilitamba hata stage ilipambwa kwa khangautafungwa khanga kwa 500 yenkhanga za kukodisha
chagua tukufunge style ganiNo comments: