

ni kweli lakini hayakuhusu






habari ndiyo hiyo

mwavuli wa khanga

mpenzi mwema huonyesha huruma

Mumgu nipe subira walimwengu wananikera


mifuko ya khanga

jipe moyo Mungu atakusaidia


sagula sagula





tingatinga

waliokuwa washehereshaji wetu


waliokuwa mamodo wa khanga


waliokuwa mamodo wa khanga
3 comments:
Hii miamvuli ya kanga kweli ni kiboko, mi binafsi nilikuwa bado sijaona, lazima mlitia fora katika haya maonesho ya utamaduni hongereni sana
Bennet miavuli ya khanga tu je cushion cover za magari unazionaje?
Nimekubali kazi yako nzuri sana,hata mie hiyo miavuli nimeipenda sana na asante umenipa idea hiyo ya ku-display heleni kwenye ubao wenye bendera.Hongera dada songa mbele wakati ndo huu.
Post a Comment