KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Monday, July 20, 2009

Tanzanite Society JP

Blogu ya Jamii yapigwa shavu na Jumuiya






Katika mkutano mkuu wa Jumuiya ya Tanzanite uliofanyika leo huko Odakyu Sagamihara, blogu ya jamii imepigwa shavu na uongozi kama njia moja ya kufikisha taarifa muhimu za Jumuiya kwa wananchi. Blogu yenu inashukuru sana kwa imani uongozi wa Jumuiya walioonyesha kwa blogu hii na inaahidi kuendelea kuliendeleza libeneke pia inawashukuru wadau wote wanaotembelea kupata taarifa mbalimbali. Baadaye picha za mkutano wa leo zitawekwa hewani.

3 comments:

Simon said...

safi sana,
hayo ndio mambo yanayotakiwa..
keep it up

Mbele said...

Nikiwa ni mdau wa blog hii, natoa pongezi kwa hatua hiyo. Vile vile, taarifa unazoweka hapa, na shughuli zako za kutangaza utamaduni wetu kwa njia ya mavazi na kadhalika ni muhimu. Nakutakia mafanikio zaidi na zaidi.

mumyhery said...

Prof Mbele, Simon Shukran zangu za dhati ziwafikie na nawakaribisha sana karibuni tena na tena