
na sisi wanaume je?, usijali kwa kuwa bibi tumemfunga kibwebwe wewe chako kilemba

tunapenda vazi la khanga

kama zionekanavyo

japo upande lakini khanga ipo

mabanda nayo hali kadhalika

hata meza za biashara zilipambwa khanga

zoezi lilikuwa kubwa kidogo karibu kila mmoja alitaka kujifunga khanga


handbag za khanga
(kore wa imi wa nan desuka?) hii ina maana gani?

(ii msg sagashite kudasai) nichagulie yenye ujumbe mzuri
No comments:
Post a Comment