Mwenzangu nimejaribu kufunga kanga na kucheza, lakini sijafurahia sana kwani inabidi muwe wengi. Natamani ningeungana na hao wenzangu.Hakuna kulala hata kama hujala...lol
Yasinta hapo ni wewe tu yaani nimeinama nimeinuka nimeokota kidude, dooli dooli nimeokota kidudeee, Chib, Bennet kazi kwenu kuwatafutia jina, maana yake mimi nikitaja jina maweza sema nimetukana
4 comments:

Sasa hao tuwaite Japanzanians au... :-)
Hawa ni Wazaramu wa Tokyongongero

Post a Comment