Friday, March 29, 2013

* RAMBI RAMBI KUTOKA UJERUMANI KUFUATIA KUANGUKA KWA JENGO DAR!*

Umoja wa Watanzania Ujerumani umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya
kuanguka kwa jengo mjini Dar es Salaam.
tunawapa pole nyingi ndugu na jamaa wa waliopoteza maisha, Umoja Wa
Watanzania Ujerumani unaungana na watanzania wote pamoja wafiwa katika
maombolezi ya msiba huu mkubwa.
Tunawaombea marehemu wote mungu awaweke mahala pema peponi AMIN

No comments: