Saturday, March 30, 2013

TANGAZO LA KISOMO

Famailia ya Marehemu Ahmed Bawazir inapenda kuwashukuru watu wote ambao mliowezesha mwili wa marehemu kwenda Tanzania kwa mazishi, na pia inapenda kuwaalika watu wote wa kanto na jpn kwa jumla kujumuika kwenye Hitima ya marehemu itakayo fanyika,Odakyu sagamihara stesheni Ghorofa ya nne.,Siku ya tar 7 April 20013 jumapili,Kuanzia saa 11 jioni,
Tafadhali kila anaye pata taharifa hizi amfahamishe na mwingine.
Kwa maelezo zaidi piga 090-2230-8435[Prosper Japhet] na 080-3721-1868 [Charles Amarido]

Au 080-3458-8786[Pembe Rashid]
KAMATI YA MAZISHI.

__,_._,___

No comments: