Thursday, December 13, 2012

TAARIFA YA MSIBAsalaam.

Wakati taratibu na mipango kwa ajili ya maandalizi ya safari ya mwisho ya mwenzetu inaendelea, hapa kuna taarifa ya nyongeza kwa ajili ya wanaTIJA, ndugu, jamaa na marafiki popote tulipo.

Kwa upande wa Dar Es Salaam, Tanzania, msiba uko Mbezi nyumbani kwa ndugu Said Bawazir.

Yeyote anayehitaji kufahamu taratibu zilivyo huko nyumbani, namna ya kufika msibani na kadhalika, tafadhali wasiliana na ndugu Said Bawazir kwa namba hii: +255 773 543 543.

salaam,

Tostao

No comments: