Thursday, December 13, 2012

TAARIFA YA MSIBA JAPANKwa masikitiko makubwa, tumefikwa na msiba kufuatia kifo cha mTanzania mwenzetu bw. Mbaruku Ahmed Bawazir (pichani) aliyefariki usiku wa jana, Desemba 12 2012, jijini Tokyo baada ya kuugua kwa muda.

Kwa sasa mipango kwa ajili ya taratibu za kumsafirisha marehemu kwenda nyumbani Tanzania kwa maziko inaendelea. Taarifa zaidi zitatolewa hapa ukumbini kadiri zinavyopatikana.

Michango inaombwa ielekezwe kwa:
SUGAI PROSPER
TOKYO MITSUBISHI UFJ
ACCOUNT 3662558
SHINJUKU-CHUO BRANK.
SWIFT CODE -BOTKJPJT
CODE -0005

SIMU +819022308435


Kwa maelezo mengine zaidi, wasiliana na hawa wafuatao:

Ndg. PEMBE RASHID- (TOKYO KANAGAWA) 080-3458-8786
Ndg. MARTIN GONGOLI( NAGOYA) 080-3455-1970
Ndg. AMARIDO CHARLES( TOKYO KANAGAWA) 0808-3721-1868
Ndg. MATILDA SASAKI (TOKYO KANAGAWA) 080-3560-5324

Kufuatia msiba huu, watu kwa sasa wanakutana ODAKYU SAGAMIHARA (nyumba aliyokuwa anaishi Mwidi).

Anuani:
SHAMBURU 101
SAGAMIDAI, 2-1-2,
SAGAMIHARA-SHI,KANAGAWA KEN, JAPAN.

No comments: