Saturday, December 15, 2012

MSIBA TOKYO JAPAN

Taarifa ya Nyongeza.
Kesho kutakuwa na kikao kwa watu wote ambapo lengo kubwa ni kukamilisha michango ambapo kiasi kinachohitajika ni zaidi ya 2.5Ml Yen.
Mahali pa kukutana ni pale pale Odakyu sagamihara kuanzia Saa nane Mchana. Na kwa ambao hawataweza kufika pia tungependa watume mchango katika akaunti
ifauatayo.

SUGAI PROSPER
TOKYO MITSUBISHI UFJ
ACCOUNT 3662558
SHINJUKU-CHUO BRANK.
SWIFT CODE -BOTKJPJT
CODE -0005
SIMU +819022308435


Pia kuna mawazo yaliyotoka kwamba baadhi ya Wanafunzi wanapendekeza kuwepo kwa akaunti ya Benki ya Posta, wanaweza wakafanya transfer kwa akaunti ifuatayo.
MFUNAMI THEOPHILY WILLAM (PEMBE)
10260-80635761
EBINA BRANCH.

RASHID PEMBE

No comments: