Thursday, May 19, 2011

The Tanzanites Band
Kwa wadau wa The Tanzanites Band waliopo Tokyo na sehemu za karibu, tunawaarifu kuwa tutakuwa pale nyumbani WHAT THE DICKENS Ebisu-Tokyo Jumamosi hii inayokuja ya tarehe 21 kuanzia saa 3 Usiku mpaka majogoo. Karibuni.


Fresh.

http://freshjumbe.com

No comments: