Tuesday, May 17, 2011

Tanzanite Society
Kaimu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Nchini Japan akiwa na marafiki zake huko Ishinomaki-Miyagi Prefecture walikokwenda kusaidia kusafisha miji iliyo kumbwa na janga la Tsunami. (nyuma na nyumba iliyo bomolewa kuta na kusafishwa)

moja ya nyumba walizobomoa kuta zilizo haribiwa na mafuriko

wakipata chakula cha usiku katika hoteli waliyo fikia

1 comment:

Swahili na Waswahili said...

Hongera sana nivyema kusaidiana na wenyeji wako!