Jestina, emu-theree, swahili ahasanteni sana Mungu ametusaidia kwa watanzania wote tuko salama, kulikuwa na mmoja aliyekuwa sendai tulichelewa kupata habari zake lakini sasa tumeshapata habari yupo salama ahsanteni sana Mungu awabariki na nyinyi kwa kutuhofia shukaran Mariam
8 comments:
Twashukuru kwa tangazo hili , TUPO PAMOJA!
Watanzania wote mlioko Japan. Poleni kwa misukosuko ya tetemeko na Sunami iliyowakumba. Tunawaombea. Mungu Awe nanyi!
Nje ya topiki:
Poleni na Matsunami na matetemeko huko jamani!
Umesalimika wa kwetu na hiyo balaa Tsunami!
Tunawapa pole kwa msuko suko
Hello mpenzi, poleni sana na hiyo earthquake na tusnami huko Japan. I am just writting to check kam mko salama. Mungu awe pamoja nanyi. Jestina
dada mmesalimika huko?Mungu awabariki sana na poleni sana!.
Jestina, emu-theree, swahili ahasanteni sana Mungu ametusaidia kwa watanzania wote tuko salama, kulikuwa na mmoja aliyekuwa sendai tulichelewa kupata habari zake lakini sasa tumeshapata habari yupo salama ahsanteni sana Mungu awabariki na nyinyi kwa kutuhofia shukaran
Mariam
Kaka Matondo Shukran nimesalimika, ahsante sana
Simon ahsante sana sana nimesalimika, nje ya topiki usijali ujumbe umefika shukran,
Bro chib ahsante sana tumesalimika
JAMANI NAWASHUKURU WOTE WPENDWA WANGU KWA KUNIJALI NIMESALIMIKA
NA WATANZANIA WOTE TUPO SALAMA HAPA JAPAN
Post a Comment