Wednesday, March 09, 2011

Africa Heritage Festival
8 comments:

emu-three said...

Twashukuru kwa tangazo hili , TUPO PAMOJA!

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Watanzania wote mlioko Japan. Poleni kwa misukosuko ya tetemeko na Sunami iliyowakumba. Tunawaombea. Mungu Awe nanyi!

SIMON KITURURU said...

Nje ya topiki:


Poleni na Matsunami na matetemeko huko jamani!

chib said...

Umesalimika wa kwetu na hiyo balaa Tsunami!
Tunawapa pole kwa msuko suko

Mrs P said...

Hello mpenzi, poleni sana na hiyo earthquake na tusnami huko Japan. I am just writting to check kam mko salama. Mungu awe pamoja nanyi. Jestina

Swahili na Waswahili said...

dada mmesalimika huko?Mungu awabariki sana na poleni sana!.

mumyhery said...

Jestina, emu-theree, swahili ahasanteni sana Mungu ametusaidia kwa watanzania wote tuko salama, kulikuwa na mmoja aliyekuwa sendai tulichelewa kupata habari zake lakini sasa tumeshapata habari yupo salama ahsanteni sana Mungu awabariki na nyinyi kwa kutuhofia shukaran
Mariam

mumyhery said...

Kaka Matondo Shukran nimesalimika, ahsante sana

Simon ahsante sana sana nimesalimika, nje ya topiki usijali ujumbe umefika shukran,

Bro chib ahsante sana tumesalimika

JAMANI NAWASHUKURU WOTE WPENDWA WANGU KWA KUNIJALI NIMESALIMIKA
NA WATANZANIA WOTE TUPO SALAMA HAPA JAPAN