Tuesday, May 11, 2010

Wabunge Watembelea Rosper International

Wajumbe wa Kamati ya Ukaguzi ya Bunge la Tanzania walifanya ziara ya kikazi nchini Japani. Ujumbe huo uliokuwa na wabunge 10, baadhi yao walipata nafasi ya kutembelea Kampuni ya Rosper International

Baadhi ya wabunge waliotembelea Rosper International Co, Ltd. JapanMkurugenzi wa Kampuni ya Rosper International {mwenye mfuko mweupe} akiwasindikiza Wabunge baada ya Ziara yao katika Kampuni ya Rosper International Ltd, Japan.


No comments: