Sunday, May 16, 2010

Moonrafiki zangu wamenitumia ujumbe eti leo mwezi una muonekano mzuri basi nikaona bora nipate picha ili niweze kushare na wadau

4 comments:

Anonymous said...

great picture!!! went outside to look but its so cloudy

Yasinta Ngonyani said...

umefanya vizuri kushare nasi ni ujumbe/picha nzuri

Fadhy Mtanga said...

Picha nzuri sana mama mkwe...hongera kwa kuweza kuufaidi uzuri huo wa mwezi.

Upepo Mwanana said...

Ni kweli, picha hii ni nzuri sana