Monday, May 17, 2010

Khanga hizo!!!Elimu haina mwisho

教育に終わりはない

Ukipenda waridi uvumille miiba.

バラの花を愛するならトゲを我慢して
 

Raha ya dunia ni kupendana.

この世の幸せは愛し合うこと


Mwongo ajisifu

うそつきは自分を褒める

Ujana ni moshi ukendahaurudi

若さは煙のごとし。立ち上ったら二度と立ち返ることはない

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

hii nimeipenda mno "Raha ya dunia ni kupendana"
na hii pia "Ukipenda waridi uvumille miiba" nimezipenda kanga na pia maneno yake

Fadhy Mtanga said...

Kanga nzuri sana hizo mama