Tuesday, February 23, 2010

MAISHA


Hongera Yasinta kwa kuifikisha Blog ya Maisha hapo ilipo

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante dada Mariam. We dada kwa utundu nakusifu yaani hapo umeniweza kweli hivyo vyote ni vitu vyangu kabisa.Ahsante dada!

Mija Shija Sayi said...

Vipi kama angekushtukiza kwa kukutumia vyote hivyo?...lol

Na mimi kwa ninavyomjua Mumyhery hakawii kuku-suprise, na kama ikitokea hivyo Yasinta usinisahau na mimi mpiga debe.............!!!!