Monday, February 22, 2010

green khanga

ukitaka radhi heshimu wazazi


3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Da mariam we mbunifu kweli maaana hapo umetuwekee kila kitu yaani umemechisha. Raha kweli.Kijani hii ni rangi yangu naipenda sana ni rangi nzuri.

PASSION4FASHION.TZ said...

Kazi nzuri bidada imetulia hiyo,nimependa hiyo khanga ila nimeshindwa kusoma maneno yaliyoandikwa juu ya hiyo khanga.

Upepo Mwanana said...

Yaani, umenifikisha mahali pake