Wednesday, February 24, 2010

TANZANITE SOCIETY JP

TANGAZO LA MKUTANO

Ndugu Wanajumuiya wa TANZANITE society.Kwa niaba ya uongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio Japan (Tanzanite society) napenda kuwataarifu kuwa, kutakuwa na mkutano mkuu wa Wanajumuiya wote utakaofanyika:Tarehe: 7/03/2010Mahali(Ukumbi) : odasaga plaza (Odakyu sagamihara station)Muda: Kuanzia saa 12:15jioniAgenda za mkutano huu ni kama zifuatazo:

1. Kupata taarifa ya mapato na matumizi ya Jumuiya.
2. Kujadili na kuunda kamati ya uchanguzi
3. Kujadili na kuunda kamati ya mabadiliko ya katiba
4. Kujadili na kupitisha masharti ya watakaotaka kugombea
uongozi wa Jumuiya
5. Mengineyo.

Uongozi wa Jumuiya unapenda kuwakumbusha kuwa, kama tulivyokubaliana katika mkutano uliopita, kwa wale wote watakaochelewa kufika kwenye mkutano au wasiofika bila kutoa taarifa kwa uongozi watatozwa fine.Mkutano utaanza rasmi saa 12:15jioni, tunaomba kuzingatia muda.Taarifa za kutoweza kufika kwenye mkutano zipelekwe kwa Katibu Mkuu wa Jumuiya:

Katibu mkuu:
Julius Mombeki
Simu: 09041304754
Email: jullius57@docomo.ne.jp

Natanguliza shukrani,
E.Senkoro
Katibu Mkuu Msaidizi wa Jumuiya.

No comments: