Saturday, January 23, 2010

Umeshaiona Jewel Benz Weye?

TOKYO AUTO SALOON - MAKUHARI MESE-2010 JP


































kwenye gari hii walijaa watu sio kuangalia gari bali kuchukua video za wacheza show kwenye hii gari, kwa jinsi watu walivyo jaa hapa mimi ilinibidi ninyooshe mkono tu nichukue picha sikuweza kufika mbele













3 comments:

Anonymous said...

watu na fedha zao, yaani ndiyo inabidi ulazimike kuamini tu kuwa ingawaje sote tunaishi katika kipande hiki hiki cha ardhi na kuimbishwa nyimbo za binadamu wote ni sawa, ukweli ni kwamba wengine ni sawa zaidi. Hizi picha kwangu imekuwa fahari ya macho. Hilo gari la picha za mwanzo ni la mwanamfalme wa Saudia.

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kwa picha dada yani nimesafisha macho leoooo na nimejikuta nipo huko nawe:-)

Mashughuli said...

hapana sijawahi ona my dear bora wewe umenitoa ushamba sasa hiyo jewel benz ni ya usiku tu au na mchana?? maana migari si ya usiku duniani kuna mambo thanks mumkheri