Friday, January 29, 2010

Khanga hizo!!!
2 comments:

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Unaziuza hizi kanga? Mtu anaweza kuzinunua online? Naweza kukusaidia kupata wateja...

mumyhery said...

Kwa sasa hivi online natumia Yahoo Japan tu na kwenye festivals natarajia kuzidisha mauzo kwa kutumia online hivi karibuni, mara ntakapo pata mzigo mpya, Shukran Bro Matondo