Tuesday, January 19, 2010

MOVABLE CAR INSPECTION
movable vehicle inspection


wakaguzi wa mahesabu ya Serikali na wa Tanzania Bureau of Standard wakikagua movable vehicle inspection inavyofanya kazi kwenye kampuni ya East Africa Automobile Services Co., Ltd JapanBw Mtui, Bw Masikitiko na Bw Mnumuli

wakaguzi na mawakala wa usafirishaji melini


Mkurugenzi wa East Africa Automobile Services Co., Ltd. Bw Prosper Nguku akiwa na wakaguzi wa mahesabu toka Tanzania na wafanya kazi wa kampuni ya EAA

2 comments:

chib said...

Lakini bado tunapokea mitumba ya magari isiyotembea!!

mumyhery said...

Chib inategemea na ulipo fanyia inspection yako, kama upo Kanto Japan jaribu EAA au Rosper International