KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Monday, January 18, 2010

MAOMBOLEZO YA SIMBA WA VITA TOKYO JP



Balozi wa Cameroun

Balozi Cameroun

mwakilishi toka German

Balozi wa Zimbabwe

Katibu Mwenezi Tanzanite Society JP

mwakilishi toka Lesotho

mwakilishi toka Malawi



Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Wilna International, Bw. Wille Ngoya, akitia saini kitabu cha maombolezo ya msiba wa hayati Rashidi Mfaume Kawawa.





Dr Kamu akitia saini kwenye kitabu cha maombolezo




Eric akiweka sini kwenye kitabu cha maombolezo



Mr Ndesika akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo




Mwakilishi wa Balozi wa Qatar, Bw. Ahmad Abdulrahaman Al-Sanaidi akitia saini kitabu cha maombolezo.




Balozi Saeed Ali Al Nowais wa Umoja wa Falme wa Kiarabu (UAE) akitia saini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Tanzania jijini Tokyo.




Afisa Ubalozi, Bw. Francis Mossongo akitia saini kitabu cha maombolezo





Afisa Ubalozi wa Tanzania, Bw. Elibariki Maleko akitia saini kitabu cha maombolezo