Friday, January 15, 2010

MAOMBOLEZO YA SIMBA WA VITA TOKYO JPOfisi ya Ubalozi wa Tanzania mjini Tokyo kwa masikitiko makubwa inaomba kuwataarifu kuhusu kifo cha mheshimiwa Rashidi Mfaume Kawawa, Waziri Mkuu na Makamu wa Pili wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kilichotokea mjini Dar es Salaam tarehe 31 Disemba 2009.Ubalozi umefungua kitabu cha maombolezo kwa ajili ya kusainiwa. Unaweza kufika ubalozini kwa ajili ya kusaini kitabu hicho katika siku zifuatazao:Siku: Ijumaa 15 Januari 2010 Muda: Kati ya 10:00 ~ 12:00 na 14:00 ~ 16:00Siku: Jumatatu 18 Januari 2010Muda: Kati ya 10:00 ~ 12:00 na 14:00 ~ 16:00Wote mnakaribishwa kutia saini kitabu hicho cha maombolezo.Ubalozi wa Tanzania, Tokyo.2 comments:

Born 2 Suffer said...

Mola amueke mahali pema Amin.

Mashughuli said...

Mumhery napenda kutoa shukran zangu sana kwako kwani wewe ni mwanamke usiyekuwa na wivu asante sana kwa nifollow katika blog yangu na pia kuniweka kwenye blog yako!