Monday, January 18, 2010

MAOMBOLEZO YA SIMBA WA VITA TOKYO JPBalozi wa Cameroun

Balozi Cameroun

mwakilishi toka German

Balozi wa Zimbabwe

Katibu Mwenezi Tanzanite Society JP

mwakilishi toka Lesotho

mwakilishi toka MalawiMkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Wilna International, Bw. Wille Ngoya, akitia saini kitabu cha maombolezo ya msiba wa hayati Rashidi Mfaume Kawawa.

Dr Kamu akitia saini kwenye kitabu cha maombolezo
Eric akiweka sini kwenye kitabu cha maombolezoMr Ndesika akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo
Mwakilishi wa Balozi wa Qatar, Bw. Ahmad Abdulrahaman Al-Sanaidi akitia saini kitabu cha maombolezo.
Balozi Saeed Ali Al Nowais wa Umoja wa Falme wa Kiarabu (UAE) akitia saini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Tanzania jijini Tokyo.
Afisa Ubalozi, Bw. Francis Mossongo akitia saini kitabu cha maombolezo

Afisa Ubalozi wa Tanzania, Bw. Elibariki Maleko akitia saini kitabu cha maombolezo