Thursday, January 14, 2010

Happy Birthday Mama Iqra

Happy Birthday Mama Iqra Nakuombea Mwenyeezi Mungu akujalie afya njema wewe na familia yako, na zaidi ya yote akujalie baraka zake kwa kadri ya mahitaji yako. Shamim, a.k.a Zeze ni mwana mitindo anapatikana hapa

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongera kwa siku ya kuzaliwa mama Iqra Mungu akulinde

Anonymous said...

CHI-MAMY, CHI-MAMY KAZALIWA JAMANI.
ALLAH AKUJALIE ZAIDI NA ZAIDI YA HIYO ULIYOFIKIA LEO INSHALLAH

CHUCHUCHU mwah mwah mwah

disminder