Eeeeehh dada Mariam hongera sana kwa siku ya kuzaliwa nakutakia siku njema na uwe na wakati mzuri ila usile keki sana...LOL
Happy Birthday Dada!
Japo siku imepita lakini tambua kuwa NAKUOMBEA KILA SIKU na ina maana hata siku yako ya kukumbuka kuzaliwa nilikuwa nawe ki-Imani.Nakuheshimu na kukupenda sana na nakutakia kila lililo jema katika mafanikio ya maisha yako.Baraka kwako
Huu ugonjwa umetuliaa...nimeona maugonjwa ya kijapan ya ukweli...hebu fanya unitumie pande plz
Post a Comment
4 comments:
Eeeeehh dada Mariam hongera sana kwa siku ya kuzaliwa nakutakia siku njema na uwe na wakati mzuri ila usile keki sana...LOL
Happy Birthday Dada!
Japo siku imepita lakini tambua kuwa NAKUOMBEA KILA SIKU na ina maana hata siku yako ya kukumbuka kuzaliwa nilikuwa nawe ki-Imani.
Nakuheshimu na kukupenda sana na nakutakia kila lililo jema katika mafanikio ya maisha yako.
Baraka kwako
Huu ugonjwa umetuliaa...nimeona maugonjwa ya kijapan ya ukweli...hebu fanya unitumie pande plz
Post a Comment