Saturday, November 21, 2009

Happy Birthday


4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Eeeeehh dada Mariam hongera sana kwa siku ya kuzaliwa nakutakia siku njema na uwe na wakati mzuri ila usile keki sana...LOL

SIMON KITURURU said...

Happy Birthday Dada!

Mzee wa Changamoto said...

Japo siku imepita lakini tambua kuwa NAKUOMBEA KILA SIKU na ina maana hata siku yako ya kukumbuka kuzaliwa nilikuwa nawe ki-Imani.
Nakuheshimu na kukupenda sana na nakutakia kila lililo jema katika mafanikio ya maisha yako.
Baraka kwako

shamim a.k.a Zeze said...

Huu ugonjwa umetuliaa...nimeona maugonjwa ya kijapan ya ukweli...hebu fanya unitumie pande plz