KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Sunday, May 10, 2009

wiki ya dhahabu na mvua



wabishi hao we kuogelea gani na mvua na baridi




msinitanie naenda wangojea kwenye show ya whale
mkichoka kuogelea mtanikuta huko



mwanangu we tuonyeshe tu hayo madoido ya kucheza
na samaki lakini likipasuka ndio tsunami yetu




ndivyo golden week ilivyo isha



2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hapo mwenzangu ni kweli itakuwa tsunani yenu

Simon Kitururu said...

Na hali ya hewa hiyo kweli wanaoogelea wanamoyo!