Sunday, May 10, 2009

wiki ya dhahabu na mvuawabishi hao we kuogelea gani na mvua na baridi
msinitanie naenda wangojea kwenye show ya whale
mkichoka kuogelea mtanikuta hukomwanangu we tuonyeshe tu hayo madoido ya kucheza
na samaki lakini likipasuka ndio tsunami yetu
ndivyo golden week ilivyo isha2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hapo mwenzangu ni kweli itakuwa tsunani yenu

SIMON KITURURU said...

Na hali ya hewa hiyo kweli wanaoogelea wanamoyo!