KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Thursday, May 07, 2009

Mother's Day




mpende mama




nani kama mama?



radhi ya mama kupata ni salama



radhi ya mzazi ni pepo
 



radhi ina manufaa



   
mama ntakulipa nini zaidi ya kukuthamini



ukifurahisha wazazi utapata radhi


4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ni kweli kabisa hakuna kama mama duniani hapa

Bennet said...

Natamani nichukue moja kisha nikampe Mama yangu, lakini haiwezekani basi nitazipata wapi kwa sisi tuliopo mother land Tanzania

Mzee wa Changamoto said...

Najua nawe ni Mama, na najua unastahili pongezi kwa kuwa Mama Lakini pia unastahili pongezi kwa kuwakumbuka kinaMama. Ama kweli Mama kuwajali kinaMama inapendeza.
Happy Mother's Day

mumyhery said...

Bennet kanga hizi unaweza kupata kisutu kwenye maduka ya junmla, au kwa mikoani unaweza kupata sokoni, kila soko la Tanzania kanga hazikosekani labda tu unaweza usipate aina kama hizi lakini waweza pata aina nyingine lakini ikawa na maneno yoyote ya wasifu wa Mama