KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Thursday, September 09, 2010

Lailatul Eid Kareem



Kwa kumalizia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Napenda kuomba Radhi kwa wote nilio wakosea naomba samahani, na walio nikosea nimewasamehe, tusafishe mioyo yetu tusameheane

Kwa walio wajibika Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani katika kufunga, kupika, kuuza, kununua, kugawa futari au kufuturisha au kwa njia nyingine yoyote napenda kuwaambia OTSUKARE SAMA DESHTA.

1 comment:

emu-three said...

Nimeipenda hii, na wewe utusamahe pia, kama tulikukosea au kukukwaza!