IDD MUBARAK
IDDI INA FURAHA YA PEKE YAKE
BARAKA YA MUNGU IWE JUU YETU
MUNGU NI WA HAKI
UKIUWEKA MUNGU MBELE NAYE ATAKULINDA MILELE
MUNGU NIJAALIE WEMA NIPATE NEEMA
TUMPE MUNGU SHUKURANIUKIWA NA IMANI NEEMA HAIKO MBALI
ZOTE NI NEEMA ZA MUNGU
MAZURI UKIYATENDA MUNGU ATAKUSAIDIA
KILA MTEANDA JAMBO JEMA MUNGU HUMLIPA WEMA
EWE MOLA WETU TUSHUSHIE KHERI NA BARAKA
DUA YA MAMA NI KHERI
HONGERA MAMA
MAMA POKEA ZAWADI
WA ASALI AZUZULIWI NA SUKARI
2 comments:
Kila la kheri kwa wote. Kanga nzuri kweli.
Dada Mumyhery, hongera sana kwa kazi unayofanya, ambayo inaitangaza vizuri nchi yetu na utamaduni wake, kwa kupitia hizi kanga, vyakula, na kadhalika. Nafurahi nimepata fursa ya kukufagilia kwenye "comments" katika kablogu kangu, hapa.
Post a Comment