KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Thursday, August 20, 2009

Hiratsuka World Fair


Hiratsuka World Fair itafanyika tarehe 22-08-2009, Beniya Cho Machikado Hiroba ni dakika 5 toka Hiratsuka Station, nyote mwakaribishwa

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante sana!

Mbele said...

Naona bendera yetu kwenye tangazo. Kazi nzuri hiyo, na nawatakieni kila la heri. Ningejua kabla ningefanya mpango wa kushiriki. Mimi ni mwandishi wa vitabu, na huwa napeleka vitabu vyangu kwenye maonesho.

mumyhery said...

brother Mbele, ahsante sana, ikitokea event nyingine ntakushitua, kuna nyingine y JATA world travel mwezi ujao hiyo ni kubwa lakini mimi sita shiriki pia kutakuwa na mashirka ya utalii yatakuja toka tanzania inatarajiwa kuwa na watu 100,000. ila kuna nyingine global festa hii itakuwa mwezi wa kumi hii ni kubwa sana ila mimi sijajua ntakuwa upande upi kwani nina mumyhery collection na serengeti grill, kwa hii huwa napendea zaidi serengeti kwani kwa hii festa chakula huwa kina fanya vizuri, ila iwapo ntakosa ya serengeti grill ndio naigia na mumyhery na iwapo ntaingia na mumyhery hiyo inakuwa na khanga hivyo hata vitabu vinawezekana ila ikiwa serrengeti grill hapo inakuwa ni chakula tu

mumyhery said...

Yasinta tutawasilana nimekuwa mvivu kidogo kuna shughuli zimenikaba kidogo, Ahsante sana