KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Tuesday, May 19, 2009

African Festa khanga show


Shimizusan akielezea machahe kuhusu Tanzania,
ikiwa pamoja na wasifu wa Baba wa Taifa na Rais
J. M  Kikwete,  kabla ya show ya khanga


kilemba kinafungwamamodo wa khanga


tuonyeshe mnavyo funga kilemba cha khanga Tanzania

                                            


3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kweli kama kukosa uhondo basi tumekosa lakini si mbaya tunaangalia picha. Asante dada.

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Kuna kanga angalau moja hapo nimeipenda. Nitawezaje kununua? Unaruhusu kadi (visa)? Kazi safi sana na inatia moyo kama nini kuona Watanzania tunavyojitahidi. Hongera sana tena mno!!! Usikate tamaa!!!

Anonymous said...

Hii ili kuwa shughuli hasa, hadi kijasho chembamba kilikutoka. Hongera sana kwa kujibidiisha.
Kazi njema!