KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Sunday, May 17, 2009

African Festa Fashion Show


modo mwenza wa tz akipita mara ya pili

ana peperusha bendera ya malawi

ngomawaliokaa mbele mabalozi wa Africa Japanmamodo wa kesho nao walikuwepomodo wa Lesotho mke wa baloziwashiriki


mambo ya darfur

kijana wa Rwanda
modo wa Nigeria mke wa balozi na kijana wake


dada na wadogo zake                                                                                 


3 comments:

Simon Kitururu said...

Hapo nahisi ni mimi tu nilikosekana!:-)

Yasinta Ngonyani said...

Simon sio wewe tu umenisahau mimi pia:-) dada mariam Kazi imefanyika safi sana nimezipenda sana picha yaani hiyo mivao sijui nisema Afrika hojeee au Japan Hojeeee

mumyhery said...

Simon, Yasinta kwa kweli uhondo mmekosa, bado ntawaletea picha nyingine baadae kidogo, kwani muda wa kukaa kwenye pc hautoshi