Friday, July 10, 2015

WATANZANIA WAISHIO JAPAN WAKUTANANA NA MHE BALOZI BATILDA BURIAN BAADA YA KUWASILISHA UTAMBULISHO KWA MFALME AKIHITO
Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan Mhe Batilda Burian akiongea na Watanzania waishio nchini humo mara tu baada ya kutoka kuwasilisha hati za utambulisho kwa Mfalme Akihito
Maafisa , wafanyakazi ubalozi wa nchini Japan wakiwemo watanzania waishio nchini humo wakimsikiliza Balozi mpya Mhe Batilda Burian alipokuwa akiongea nao mara tu baada ya kuwasilisha hati za utammbullisho kwa Mfalme Akihito wa Japan


No comments: