Wednesday, June 17, 2015

WEMA SEPETU KUWANIA UBUNGE WA VITI MAALUM SINGIDAWema Sepetu huenda akaingia kwenye siasa kwa kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida.


Wema Sepetu akiwa na mama yakeMashabiki wake aka Team Wema wameandika ujumbe: 

Nina wazo kwenu nyote. Kwa upendo tuliekuwa nao kwa madame. Naomba tumsuport kwa hali na mali. Kila anae jua anampenda Wema tumchangie ili kampeni yake iende vizuri. Anategemea kuchukua form ya kugombea ubunge viti maalum mkoani Singida tarehe 15/7/2015. Mko tayari tumsuport madame wetu? Naomba mnipe jibu. wazo langu.
Naye meneja wake, Martin Kadinda alipost Instagram picha ya Wema akiwa na nguo za CCM na kuandika:

 Mbele Kwa Mbele…. Jana Ilikuwa
Ndoto Leo Nimaamuzi BeTheVoice 
Inawezekana 2015

No comments: