Thursday, May 14, 2015

WATANZANIA NCHINI JAPAN WASHEHEREKEA MUUNGANO NA KUMUAGA MHE BALOZI SALOME SIJAONA


Sherehe ya Muungano na Kumuaga Mhe Balozi Salome Sijaona iliyofanyka April 26, 2015 katika ubalozi wa Tanzania Nchini Japan uliopo Setagaya, Tokyo nchini Japan
Mhe Balozi Salome Sijaona akipokea zawadi
Abbas Mussa akiwa katika picha ya pamoja na Mhe Balozi Salome SijaonaKushoto ni Zawadi Mwimbage na Moza wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe Salome Sijaona Balozi wa Tanzania nchini Japani anayemaliza Muda wakeFidea Kobayashi akiwa katika picha na Mhe Balozi Salome Sijaona

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Nimependage ushirikiano wenu, safi sana huu ndio umoja tuuzungumziao.