Wednesday, March 11, 2015

NGOMA AFRICA BAND LIVE ! in STUTTGART ,GERMANY14 March 2015 AFRICA UNITE PARTY

Bendi ya maarufu Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni aka Anunaki aliens 
bendi hiyo inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho maalumu la AFRICA UNITE PARTY
 litakalofanyika katika ukumbi wa VTS uliopo mtaa wa Augusburger Str.442 D-70327  Stuttgart,
nchini Ujerumani.Onyesho hilo limeandaliwa
na shirika la Afrikaktiv e.V wakishirikiana na  shirika la Cabaret du Monde,
Ngoma Africa band iliyozoeleka kwa kuwatia kiwewe washabiki wake kila
kona duniani wataporomosha muziki moto moto na mdundo wao maarafu
kama " Extraordinary Bongo Dansi" mdundo unaotingisha bila ya kuwa na
mpinzani huko ughaibuni, bendi hiyo inadumu katika medani ya muziki kwa
muda wa miaka 23 na kufanikiwa kujizolea washabiki kila kona.
Ticket za onyesho hilo zinapatikana kwa simu ( booking): Call9+49 0)152 12091242 au
 +49(0)152 106106137   Mnakaribishwa wote,

No comments: