Saturday, March 14, 2015

MH. PINDA AHUTUBIA MKUTANO WA MAAFA JAPAN

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia katika mkutano wa tatu wa dunia kuhusu upunguzaji wa hatari ya majanga duniani uliofanyika katika mji wa Sendai nchini Japan ambako alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete Machi 14, 2015.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika mkutano wa tatu wa dunia kuhusu upunguzaji wa hatariya majanga duniani uliofanyika katika mji wa Sendai nchini Japan ambako alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete Machi 14, 2015. Kulia ni Naibu Waziri wa mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa, Mahadh Maalim na watatu kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohamed Abood Mohamed. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments: