Sunday, April 22, 2012

Poleni Njenga Family


Watanzania waishio Japan walipokutana kutoa pole kwa Njenga Family waliofiwa na Baba yao Tanzania, Mwenyeezi  Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Pepeni AMIN

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

nimefurahi sana kuona USHIRIKIANO WENU. Nawaomba muundelee hivyohivyo.

emu-three said...

Poleni sana...TUPO PAMOJA