Tuesday, May 31, 2011

Tanzanite Society


Ndugu Wanajumuiya na Watanzania wote kwa ujumla,
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Nchini Japani unapenda kuwatangazia matokeo ya uchaguzi wa viongozi wa Jumuiya ambao ulifanyika jumapili ya tarehe 22 MEI 2011. Katika ukumbi wa Ubalozi wetu pale Kamiyoga., Setagaya ku Tokyo.

Majina na nafasi za waliochaguliwa ni kama ifuatavyo:

1. Ndugu Njenga, Rashid - Mwenyekiti
2. Ndugu Sugai, Prosper - Makamu Mwenyekiti
3. Ndugu Ntyangiri, Christopher - Mweka Hazina
4. Ndugu Kidume, Ahmed - Mweka Hazina Msaidizi
5. Ndugu Jumbe, Fresh - Mwenyekiti Kamati ya Usuluhishi/ Nidhamu
Wajumbe wengine na nafasi zao zinabakia kama zilivyokuwa awali.

Jullius L. Mwombeki Jnr
Katibu Mkuu
Jumuiya ya WaTanzania Wanaoishi nchini Japani

4 comments:

Swahili na Waswahili said...

Hongereni na tunawataki kazi njema moyo wakujituma na kujiotoa zaidi!Mungu awabariki sana.

Yasinta Ngonyani said...

Kila la kheri!!

emu-three said...

Majukumu mema, twajua mtaiwakilisha Tanzania na utanzania wake, hasa lugha yetu ya Kiswahili!

SIMON KITURURU said...

Hongera zenu sana jamani!
Christopher Ntyangiri jirani yangu wa Morogoro!Salamu zikufikie na ni miaka aisee hatujakutana!SAlamu kedekede kwako!