Saturday, May 28, 2011

Tanzanite Society - Uchaguzi Mdogo Wafana

Mheshimiwa S. Sijaona akitoa nasaha baada ya uchaguzi

Mheshimiwa Balozi akitoa zawadi kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Tanzanite Society Dr A. Simba ambae anarudi nyumbani Tanzania


Mheshimiwa Balozi akitoa cheti kwa Dr Simba


Afisa Ubalozi Mrs J. Maleko

Mariam na Mhesimiwa BaloziMwenyekiti Mpya wa Tanzanite Society Mr R. Njenga, Mkurugenzi wa Brilliant Auto & General Trading Company Ltd


Mwenyekiti Msaidizi Mr Prosper Nguku, Mkurugenzi wa Rosper InernationalMweka Hazina Msaidizi Mr Ahmed KidumeNo comments: