KAMA OPTION

KAMA OPTION

KI

KI

eid

eid

Friday, April 15, 2011

Tanzanite Society



Watanzania walipokabidhi msaada kwa waathirika wa Tsunami



Mayor Mstahiki Bwana Sasaki akiwa ameweka mezani google images zinazoonyesha jiji la Natori lilivyokuwa kabla na baada ya Tsunami. Picha ya pamoja na Mayor Mstahiki Bwana Sasaki, ofisini kwake

Mayor Mstahiki wa jiji la Natori, Bwana Isoo Sasaki.










1 comment:

Rachel Siwa said...

Hongereni sana na Mungu awaongezee zaidi ya mlichotoa!!!!!!