Friday, April 15, 2011

Tanzanite SocietyWatanzania walipokabidhi msaada kwa waathirika wa TsunamiMayor Mstahiki Bwana Sasaki akiwa ameweka mezani google images zinazoonyesha jiji la Natori lilivyokuwa kabla na baada ya Tsunami. Picha ya pamoja na Mayor Mstahiki Bwana Sasaki, ofisini kwake

Mayor Mstahiki wa jiji la Natori, Bwana Isoo Sasaki.


1 comment:

Swahili na Waswahili said...

Hongereni sana na Mungu awaongezee zaidi ya mlichotoa!!!!!!