Friday, March 04, 2011

Nivaavyo ki-Afrika
Kitenge Kimono Style, nawe nitumie picha yako tuone unavyovaa kiafrika

6 comments:

SIMON KITURURU said...

Umependeza ! Bado kidogo nifikirie ni KIMONO ya KIJAPANI wavaazo Mageisha!:-)

Swahili na Waswahili said...

unakuwa bomba sana dada!

mumyhery said...

Shukran Simon, nikitenge kilichoshonwa style ya kimono, na mama mwenye umri wa miaka 80 Lol!! na amesema ndio nguo yake ya mwisho kushona kwani sasa anapumzika.

emu-three said...

Safi sana mnapokuwa kwenye nchi za watu jivunieni uafrika wenu ikiwemo hiyo ya uvaaji na lugha pia wafundisheni...Hongera sana dada yetu

emu-three said...

Safi sana mnapokuwa kwenye nchi za watu jivunieni uafrika wenu ikiwemo hiyo ya uvaaji na lugha pia wafundisheni...Hongera sana dada yetu

Jestina said...

Love this, umependeza sanaaaaaaaa. Afican touch kimono